Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 20:3-4

Mathayo 20:3-4 NEN

“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Akawaambia, ‘Ninyi nanyi nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu, nami nitawalipa chochote kilicho haki yenu.’

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 20:3-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha