Yeremia 51:9
Yeremia 51:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Tulijaribu kuuponya Babuloni, lakini hauwezi kuponywa. Uacheni, twendeni zetu, kila mmoja katika nchi yake, maana hukumu yake ni kuu mno imeinuka mpaka mawinguni.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tungependa kuuponya Babeli, Lakini haukuponyeka; Mwacheni, nasi twendeni zetu, Kila mtu hata nchi yake mwenyewe; Maana hukumu yake inafika hata mbinguni, Nayo imeinuliwa kufikia mawinguni.
Shirikisha
Soma Yeremia 51