Yeremia 51:6
Yeremia 51:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kimbieni kutoka Babuloni, kila mtu na ayaokoe maisha yake! Msiangamizwe katika adhabu yake, maana huu ndio wakati wa Mungu wa kulipa kisasi, anaiadhibu Babuloni kama inavyostahili.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kimbieni kutoka kati ya Babeli, kila mtu na ajiokoe nafsi yake; msikatiliwe mbali katika uovu wake; maana ni wakati wa kisasi cha BWANA, atamlipa malipo.
Shirikisha
Soma Yeremia 51