Yeremia 51:53
Yeremia 51:53 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa Babuloni atapanda mpaka mbinguni, na kuziimarisha ngome zake ndefu, waangamizi watakuja kutoka kwangu kumvamia. 2Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:53 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Babeli ujapopanda mbinguni, na ujapopafanya mahali pa juu penye nguvu zake kuwa ngome, hata hivyo toka kwangu wenye kuangamiza watamwendea, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 51