Yeremia 51:5
Yeremia 51:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Israeli na Yuda hawakuachwa na Mungu wao Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ingawa nchi yao imejaa hatia mbele yake yeye Mtakatifu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana Israeli, wala Yuda, hakuachwa na Mungu wake, BWANA wa majeshi; ijapokuwa nchi yao imejaa hatia juu yake aliye Mtakatifu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Yeremia 51