Yeremia 51:41
Yeremia 51:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Ajabu kutekwa kwa Babuloni; mji uliosifika duniani kote umechukuliwa! Babuloni umekuwa kinyaa kati ya mataifa!
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi Sheshaki alivyotwaliwa! Naye sifa ya dunia yote alivyoshambuliwa! Jinsi Babeli alivyokuwa ukiwa Katikati ya mataifa!
Shirikisha
Soma Yeremia 51