Yeremia 51:35
Yeremia 51:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Yerusalemu na waseme: “Babuloni na ulipizwe ukatili uleule, tuliotendwa sisi pamoja na jamaa zetu! Babuloni ipatilizwe kwa umwagaji wa damu yetu.”
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Udhalimu niliotendwa mimi, na uliotendwa mwili wangu, umpate Babeli; ndivyo atakavyosema yeye akaaye Sayuni; na Yerusalemu atasema, Damu yangu na iwe juu yao wakaao katika Ukaldayo.
Shirikisha
Soma Yeremia 51