Yeremia 51:34
Yeremia 51:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nebukadneza, mfalme wa Babeli, amenila, ameniponda, amenifanya kuwa chombo kitupu; amenimeza kama joka, amelijaza tumbo lake vitu vyangu vya anasa; amenitupa
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Nebukadneza wa Babuloni aliuharibu na kuuponda mji wa Yerusalemu aliuacha kama chungu kitupu; aliumeza kama joka. Alijaza tumbo lake vitu vyake vizurivizuri, akautupilia mbali kama matapishi.
Shirikisha
Soma Yeremia 51