Yeremia 51:24
Yeremia 51:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitaiadhibu Babuloni na wakazi wote wa Kaldayo mkiona kwa macho yenu wenyewe, kwa sababu ya uovu wote walioufanya katika Siyoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitamlipa Babeli, na wote wakaao ndani ya Ukaldayo, mabaya yao yote, waliyoyatenda katika Sayuni mbele ya macho yenu, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 51