Yeremia 51:2
Yeremia 51:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawapeleka wapepetaji Babuloni, nao watampepeta; watamaliza kila kitu katika nchi yake watakapofika kuishambulia toka kila upande wakati wa maangamizi yake.”
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawatuma wapepetaji watakaompepea mpaka Babeli, nao wataifanya nchi yake kuwa tupu; kwa kuwa katika siku ya taabu watakuwa juu yake pande zote.
Shirikisha
Soma Yeremia 51