Yeremia 51:15
Yeremia 51:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ndiye aliyeumba dunia kwa nguvu yake, aliyeuimarisha ulimwengu kwa hekima yake, na kwa maarifa yake akazitandaza mbingu.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.
Shirikisha
Soma Yeremia 51