Isaya 41:21
Isaya 41:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mfalme wa Yakobo, asema: “Enyi miungu ya mataifa, njoni mtoe hoja zenu!
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Shirikisha
Soma Isaya 41