Isaya 41:18
Isaya 41:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu, na chemchemi katika mabonde. Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Shirikisha
Soma Isaya 41