Isaya 41:1
Isaya 41:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu asema hivi: “Enyi wakazi wa mbali nyamazeni mnisikilize! Enyi mataifa jipeni nguvu; jitokezeni mkatoe hoja zenu, na tuje pamoja kwa hukumu.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyamazeni mbele zangu, enyi visiwa, na mataifa wajipatie nguvu mpya; na waje karibu wakanene; na tukaribiane pamoja kwa hukumu.
Shirikisha
Soma Isaya 41