Isaya 40:2
Isaya 40:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Semeni na wenyeji wa Yerusalemu kwa upole, waambieni kwamba utumwa wao umekwisha, wamesamehewa uovu wao. Mwenyezi-Mungu amewaadhibu maradufu kwa sababu ya dhambi zao zote.”
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa BWANA adhabu maradufu kwa dhambi zake zote.
Shirikisha
Soma Isaya 40