Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:2

Isaya 40:2 NENO

Sema na Yerusalemu kwa upole, umtangazie kwamba kazi yake ngumu imekamilika, kwamba dhambi yake imelipiwa fidia, kwamba amepokea kutoka mkononi mwa BWANA maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote.