Kumbukumbu la Sheria 31:8 - Compare All Versions
Kumbukumbu la Sheria 31:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Mwenyezi-Mungu ndiye anayewaongoza; yeye atakuwa pamoja nanyi; yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, msiogope wala msifadhaike.”
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 31 BHNKumbukumbu la Sheria 31:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 31 SUVKumbukumbu la Sheria 31:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 31 SRUVKumbukumbu la Sheria 31:8 NEN (Neno)
BWANA mwenyewe atakutangulia naye atakuwa pamoja nawe; kamwe hatakuacha wala hatakutupa. Usiogope, wala usifadhaike.”
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 31 NEN