2 Wakorintho 12:16-17
2 Wakorintho 12:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mtakubali kwamba sikuwa mzigo kwenu. Lakini labda mtu mwingine atasema: “Kwa vile Paulo ni mwerevu, amewafanyieni ulaghai.” Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini na iwe hivyo, mimi sikuwalemea; bali kwa kuwa mwerevu niliwapata kwa hila. Je! Mtu yeyote niliyemtuma kwenu, kwa mtu huyo niliwatoza kitu?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12