2 Wakorintho 12:16-17
2 Wakorintho 12:16-17 NEN
Iwe iwavyo, kwa vyovyote vile mimi sikuwalemea. Lakini kwa mimi kuwa mwerevu naliwapata. Je, nilijipatia faida kwa kumtumia mtu yeyote niliyemtuma kwenu?