1 Samueli 15:7-8
1 Samueli 15:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri. Alimteka mfalme Agagi wa Waamaleki akiwa hai. Akawaua watu kwa makali ya upanga.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 151 Samueli 15:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri. Akamkamata Agagi, mfalme wa Waamaleki akiwa hai, akawaangamiza hao watu wote kwa upanga.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 15