Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo Ulio Bora 4:16

Wimbo Ulio Bora 4:16 BHN

Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote.