Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo ulio Bora 4:16

Wimbo ulio Bora 4:16 SRUV

Amka, kaskazi; nawe uje, kusi; Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini mwake, Akayale matunda yake mazuri.