Wimbo 4:16
Wimbo 4:16 NENO
Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ngʼambo. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana.