Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 3:13-15

Methali 3:13-15 BHN

Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Hekima ni bora kuliko fedha, ina faida kuliko dhahabu. Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo.

Soma Methali 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 3:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha