Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 3:13-15

Mit 3:13-15 SUV

Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye.

Soma Mit 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 3:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha