Methali 22:20-21
Methali 22:20-21 BHN
Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa, ili kukufundisha yaliyo sawa na kweli; na mtu akikuuliza uweze kumpa jibu sahihi.