Methali 22:20-21
Methali 22:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa, ili kukufundisha yaliyo sawa na kweli; na mtu akikuuliza uweze kumpa jibu sahihi.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa; ili kukujulisha hakika ya maneno ya kweli, uwarudishie wakutumao maneno ya kweli?
Shirikisha
Soma Methali 22