Mithali 22:20-21
Mithali 22:20-21 NENO
Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa, kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, ili uweze kutoa majibu sahihi kwake yeye aliyekutuma?