Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 17:7-8

Methali 17:7-8 BHN

Maneno mazuri si kawaida kinywani mwa mpumbavu, sembuse maneno ya uongo kinywani mwa kiongozi! Kwa mhongaji, hongo ni kama hirizi; kila afanyacho hufanikiwa.

Soma Methali 17