Methali 17:7-8
Methali 17:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno mazuri si kawaida kinywani mwa mpumbavu, sembuse maneno ya uongo kinywani mwa kiongozi! Kwa mhongaji, hongo ni kama hirizi; kila afanyacho hufanikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu; Sembuse midomo ya uongo kinywani mwa mkuu. Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 17