Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:11-12

Mithali 14:11-12 NENO

Nyumba ya mwovu itaangamizwa, bali hema la mnyofu litastawi. Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini.