Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:4-6

Wafilipi 4:4-6 BHN

Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini! Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu. Msiwe na wasiwasi juu ya kitu chochote, ila kwa kila hali, mwombeni Mungu katika sala juu ya mahitaji yenu, kwa shukrani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 4:4-6