Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 15:4-5

Yobu 15:4-5 BHN

Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Uovu wako ndio unaokifundisha kinywa chako, nawe wachagua kusema kama wadanganyifu.

Soma Yobu 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 15:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha