Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 15:4-5

Ayubu 15:4-5 NENO

Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila.