Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:23-25

Kutoka 2:23-25 BHN

Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakapiga kite na kulia kutokana na hali yao ya utumwa, na kilio chao kikamfikia Mungu juu. Mungu akasikia kilio chao, naye akakumbuka agano alilofanya na Abrahamu, na Isaka na Yakobo. Mungu aliwaangalia Waisraeli, akaona kuwa hali yao ni mbaya.

Soma Kutoka 2

Video ya Kutoka 2:23-25