Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:20-21

Waefeso 4:20-21 BHN

Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo. Ni dhahiri kwamba mlisikia barabara habari zake, na mkiwa wafuasi wake mkafundishwa ukweli ulivyo katika Yesu.