Waefeso 4:20-21
Waefeso 4:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo. Ni dhahiri kwamba mlisikia barabara habari zake, na mkiwa wafuasi wake mkafundishwa ukweli ulivyo katika Yesu.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo; ikiwa kwa hakika mlisikia habari zake na kufundishwa katika yeye, kama kweli ilivyo katika Yesu
Shirikisha
Soma Waefeso 4