Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 2:7-8

Methali 2:7-8 BHND

Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi, yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu. Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake.

Soma Methali 2

Picha za Aya za Methali 2:7-8

Methali 2:7-8 - Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi,
yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu.
Huilinda mienendo ya watu watendao haki,
na kuzihifadhi njia za waaminifu wake.Methali 2:7-8 - Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi,
yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu.
Huilinda mienendo ya watu watendao haki,
na kuzihifadhi njia za waaminifu wake.