Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:7-8

Mithali 2:7-8 NENO

Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake.