Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:7-8

Mithali 2:7-8 SRUV

Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.

Soma Mithali 2