Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateo 5:15-16

Mateo 5:15-16 SRB37

Nao watu wakiwasha taa hawaiweki chini ya kapu, ila huiweka juu ya mwango; ndivyo inavyowaangazia wote waliomo nyumbani. Vivyo mwanga wenu uangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu alioko mbinguni.*

Soma Mateo 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mateo 5:15-16