1 Wakorintho 5:12-13
1 Wakorintho 5:12-13 SWZZB1921
Maana yanikhusu nini kuwahukumu wale walio nje? Ninyi hamwahukumu walio ndani? Bali hao walio nje Mungu atawahukumu. Mwondoeni mtu yule mbaya, asikae kwenu.