Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 5:12-13

1 Wakorintho 5:12-13 NENO

Yanihusu nini kuwahukumu wale watu walio nje ya kanisa? Je, si mnapaswa kuwahukumu hao walio ndani? Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”