Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 11:4-5

Mathayo 11:4-5 RSUVDC

Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona; vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari Njema.

Soma Mathayo 11