Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 11:4-5

Mathayo 11:4-5 NENO

Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari Njema.