Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 1:18

Mathayo 1:18 SRUV

Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Soma Mathayo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 1:18