Mathayo 1:18
Mathayo 1:18 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Mariamu mama yake alikuwa ameposwa na Yusufu, lakini kabla hawajakutana kimwili, Mariamu alionekana kuwa na mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mjamzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 1