Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:8-9

Warumi 12:8-9 SRUV

mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye kukirimu, kwa moyo mweupe; msimamizi, na asimamie kwa bidii; anayerehemu, na arehemu kwa furaha. Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkilishika lililo jema.

Soma Warumi 12

Video ya Warumi 12:8-9