Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:16-19

Mithali 2:16-19 SRUV

Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake; Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake. Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu. Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.

Soma Mithali 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 2:16-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha