Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 16:12-13

Marko 16:12-13 SRUV

Baada ya hayo akawatokea wawili miongoni mwao, akiwa na sura nyingine; nao walikuwa wakitembea njiani kwenda mashambani. Na hao wakaenda zao wakawapa habari wale wengine; wala hao hawakuwaamini.

Soma Marko 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 16:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha